Jifunze Kuandaa Rosti ya Nyama ya Kusaga - ChefMapishi.

Rosti ya Nyama ya Kusaga:

Mahitaji;


  • Vijiko 2-3 vya chakula mafuta ya kupikia
  • Kitunguu maji kikubwa 1
  • Kijiko 1 cha chakula kitunguu saumu na tangawizi
  • 500g/ nusu kilo nyama ya kusaga
  • Vijiko 2 vya chai beef seasoning
  • Pilipili manga kwa kuonja
  • Nyanya 2 za wastani (zilizokatwa au kusagwa)
  • Kikopo kimoja cha nyanya ya kopo


Mpendwa Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi MAFUNZO UPISHI.  Sasa inapatikana Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.

Maelekezo;

  • Kwenye sufuria katika moto wa wastani, chemsha mafuta. Ongeza kitunguu maji, kitunguu saumu na tangawizi. Pika mpaka viiveOngeza nyama ya kusaga, beef seasoning na pilipili manga. Kaanga mpaka nyama iwe ya kahawia kwa mbali
  • Ongeza rojo ya nyanya na nyanya ya kopo. Acha iive kwa dakika kama 5 kisha ongeza kikombe 1 cha maji
  • Funika, acha iive moto wa chini kwa dakika 25 mpaka 30, au mpaka nyama iive vizuri kabisa na maji yakaukie
  • Pakua kama utakavyopenda
Enjoy!

Mpendwa Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi MAFUNZO UPISHI.  Sasa inapatikana Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post
Ads1
Ads2