Mahitaji:
- Kisamvu
- Kitunguu maji
- Chumvi
- Vitunguu swaumu
- Nazi 2 (au unaweza kutumia karanga pia).
Mpendwa
Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi MAFUNZO
UPISHI. Sasa
inapatikana Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.
Maelekezo:
- Chambua kisamvu na utwange kwenye kinu ukichanganya na vitunguu saumu mpaka kiwe laini
- Kuna nazi na uchuje tui zito na jepesi
- Kata vitunguu maji vipande vidogo
- Anza kupika kisamvu chako hadi kiwe laini.
- Kisamvu kikishaiva na maji kukauka, weka kitunguu maji na chumvi, kisha weka tui jepesi ilikiiendelee kuiva zaidi na kuwa laini
- Tui likikauka weka tui zito na pika hadi tui likauke kabisa.
- Unaweza kujiramba na mapishi yako
Mpendwa
Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi MAFUNZO
UPISHI. Sasa
inapatikana Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.
Post a Comment