Jinsi ya Kuandaa Tambi za Nyama ya Kusaga - ChefMapishi.


Mahitaji;
  • Gramu 250 tambi.
  • Chumvi kwa kuonja.
  • Maji ya kuchemshia tambi.
  • Majani ya basil.
  • Rosti ya nyama ya kusaga. Jinsi ya Kuandaa nyama ya kusaga soma HAPA.

Maelekezo;
  • Andaa rosti ya nyama ya kusaga. Ikishakiwa tayari,
  • Chemsha tambi kutokana na maelekezo ya kwenye pakiti. Itachukua dakika 8 mpaka 12
    Chuja maji tambi, changanya na rosti ya nyama ya kusaga. 
  • Ongeza na maji kiasi yakihitajika
  • Ongeza majani ya basil. Changanya vizuri
  • Pakua kama utakavyopenda, nyunyizia na jibini/ cheese kwa juu.


Enjoy

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post
Ads1
Ads2